IN Nevada: Mashabiki wa Obama wakionekana kulia kwa machozi ya furaha baada ya kupata habari za ushindi
IN NEW YORK: Obama support wakisherehekea kwa kunywa na kuparty few mins after Obama kutangazwa kushinda tena
IN KANSAS: Delighted Obama supporters in Kansas wept with happiness on Tuesday night...
Jesse Jackson celebrated wins for President Obama and his son, Rep. Jesse Jackson Jr

LMAO hahahahaha hadi simu anaiona nzito , huyu ni shabiki wa Romney anaonekana kukaa chini kwa huzuni ya kukosa ushindi hahahaha uuwwiiii ...
1 comments:
hahahaahaha huyu mbona kakaa chini kwa masikitiko hivyo kulikoni?
Post a Comment