
Dada huyu pichani mwenye umri wa 21-years-old Galicia Malone alijikuta akipiga kura huko Chicago leo hii akiwa kwenye uchungu mwingi sana wa kujifungua. Dada huyu ambaye anasemekana alipata uchungu tokea jana, aliwagomea ndugu, jamaa na marafiki zake kumpeleka hospital jana hio na kuwaambia anasubiria leo ifike ili aweze kupiga kura yake na kwamba yupo very serious hataki utani. Hahahaha duuh, basi leo bi dada amepata fursa ya kutimiza matarajio yake na ndipo alipokubali kwenda hospital, lol
2 comments:
mmh huyu uchungu haukumkolea vizuri huyu he he he he
Mmmh anacheza huyu, but good for her
Post a Comment