Home » » BABYSITTER AUA WATOTO WA MUAJIRI WAKE, KISA ALIKUA NA HASIRA ZA KUPEWA KAZI NYINGI

BABYSITTER AUA WATOTO WA MUAJIRI WAKE, KISA ALIKUA NA HASIRA ZA KUPEWA KAZI NYINGI

'Killer': Yoselyn Ortega is pictured with Lulu Krim, right, who she allegedly stabbed to death in a bathtub along with the girl's two-year-old brother Leo. Their sister, Nessie, left, was not at the apartment
Pichani ni babysitter Yoselyn Ortega,  na watoto wa boss wake, Lulu na Nessie ambaye mmoja kati ya hao(Nessie aliozibwa uso) alinusurika kifo kwani alikua ameondoka na mama yake wakati wenzake walipouawa kwa kuchomwachomwa na visu na beki tatu wao huyo hapo pichani. 
Leo Krim LuLu Krim
Watoto waliouawa ndio hapo hapo juu pichani, mvulana ni Leo Krim 2yrs na dada yake Lulu Krim 6yrs waliopigwa kwa kisu mwilini na Nanny wao mpaka kufariki dunia..(tukio hili lilitokea katika jiji la New York siku chache kabla ya Hurricane)

This is such a heartbreaking story, nanny Joselyn alisemekana kuwapenda sana hao watoto alikimbizwa hospital juzi alhamis baada ya kutaka kujiua baada ya kuwachomachoma na visu watoto hao hapo pichani na kuwaweka kwenye bathtab na kisha kujikata shingo yeye mwenyewe kwa nia ya kujiua ambapo hakufanikiwa. Maiti za watoto hawa ziligunduliwa na mama yao alipofika nyumbani na kukuta kupo kimya na ndio alipoanza kuita na kuwasaka wanae humo ndani only to find them stabbed to death in the bath tab 
Discovery: Marina Krim holds onto her daughter, three-year-old Nessie, after finding her two other children, two-year-old Leo and six-year-old Lulu, stabbed to death allegedly by their nanny
Mama wa watoto hao marehemu akiwa amembeba baby Nessie alinusurika siku hio, OMG this is such a situation no mom wishes to ever see in her life, maskini pole jamani...Tragedy: Six-year-old Lulu, top, and her baby brother Leo, right, were found dead in the bathtub after they had been stabbed by their nanny. They are pictured with sister Nessie, 3, who was not hurt
Watoto Lulu, Nessie na Leo kwenye picha ya pamoja enzi za uhai wa hao wawili , this is just so sad...am shading lots of tears as am writting this story jamani uuwwii..Happier times: Marina and Kevin Krim, pictured at a 2009 event at Tavern on the Green in Central Park
Mr and Mrs Krim, hawa ndio baba na mama wa watoto hao.Sadness: A mourner places flowers outside the apartment as she breaks down in tears
Ndugu jamaa na marafiki wakipita kuja kutoa pole hapo nje kwao na kuacha vi-note vya pole na sympathy kwa familia ya Krim, wamama wengi wameoguswa sana na tukio hilo na walionekana wakilia live live kutokana na tukio hilo la kusikitisha. 
Struggled: A woman cries at a memorial outside the apartment building just a block from Central Park
wamama tu wajirani wakionekana kulia hapo nje kwa apartment ya kina Krim, siku ya tukioSympathy: A touching note left outside the apartment block on West 75th Street on Friday afternoon

Mkasa huu unasemekana ulitokana baada na nany huyo kupata hasira za kuambiwa afanye kazi za ndani nyingine ndogo ndogo mbali na kuangalia watoto ambayo ndio kazi yake alioajiriwa. Joselyn alikua na matatizo ya pesa na alikua na maden mengi na hivyo baada ya waajiri wake kujua matatizo aliyokua nayo wakampa kazi zaidi ili wapate kumlipa zaidi ili kumsaidia kupata pesa nyingi na kumsaidia aweze kulipa madeni yake, bi shost ambaye anaasilia ya Kidominican Republic alipata hasira kutokana na vijishughuli hivyo alivyoongezewa na kupelekea kuwadhuru watoto hao siku hio....


Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

3 comments:

Anonymous said...

uuuuuuuwwwwwiii kama wewe ndio mzazi unaweza na wewe kuua jamani

Anonymous said...

DEAR GOD MAKE THIS A DREAM UWIIIIIIIIIII MUNGU WANGU

Aggy Ngole said...

Mungu awatie nguvu wazazi,hata sitaki kujua ningefanya nini,

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger