Home »
» WORST SANDY STORM EVER......
WORST SANDY STORM EVER......
Leo na kesho ni siku ambazo kimbunga kibaya aina ya Sandy Storm kimesemekana kuvamia maeneo ya New York, Massachusetts , New Jersey, New Hampshire,Connecticut ,Maryland, Washington Dc, Virginia, Delaware, North Carolina na maeneo mbali mbali ya ukando wa New England. Kimbunga hiki cha kutisha mpk dakika hii kimeacha watu zaidi ya 100,000 bila umeme ambapo upepo mkali umekua ukivunja miti iliosababisha kuangukia minara ya umeme na kusababisha kukatika kwa umeme......katika maendeo mengi yaliyokumbwa na balaa hilo..
kimbunga kikiendelea kimeshababisha watu kujifungia majumbani kwao na shule kufungwa kwa muda mpaka hapo serikali itakapotangaza.
Jiji la New Yok limetokea kuadhirika na kimbunga hiki kuliko State nyingine kwani kila kitu kimefungwa hadi Airport, Subways na sehemu nyingine nyingi za public, ma.Mall yote fungwa kabisa..na huu ni mtaa mmoja wa huko Manhattan ambao huwa busy sana kwatika siku za kawaida ila leo tunaona
hali ni tete kabisa hapa
Jiji la New York linavyoonekana kwa sasa, giza likiwa limetanda wingo la NY City nzima..
NY
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment