
wakisalimia pindi walipowasili kwenye venue ya debate hio

Hapo Biden akimwaga facts huku Ryan akiwa anato machozi maana hakuamini kama babu yuko fit kiasi hiki

Wiki iliopita Mr President hakua mkali sana kama wengi walivyomfikiria, alikua akionge point lakini kwa upole a opponent wake alikua naongea saaana plus uongo na hivyo kumfanya Mr President hata asimention point zingine muhimu. Leo ilikua zamu ya makamu wa rais kudabate na opponent wake....Babu Joe Biden utamuona mzee ila ameokoa sana jahazi leo, media mbalimbali zimempa Biden jina la ''the president attack dog'', ambapo imekua nikweli kabisa kwani Biden leo hakua na huruma hata tone moja, amecharuka kama Mitt alivyojitia kucharuka last week, na kufanya mashabiki wa Democrat wapate nguvu mpya leo..... safi sana babu good job.......
0 comments:
Post a Comment