Home » » MSAADA WA BILIONI 352 KWA TANZANIA KUTOKA UJERUMANI

MSAADA WA BILIONI 352 KWA TANZANIA KUTOKA UJERUMANI


Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini Kluas Peter Brandes (kulia) wakisaini mkataba wa msaada wa miaka mitatu leo mjini Dar es salaam  ambapo Ujerumani itaipatia  Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352. Msaada huo utasaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa fedha za umma.


Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes (kulia) wakibadilishana hati za makubaliano ya mkataba wa msaada wa miaka mitatu leo mjini Dar es salaam  ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 .




Kwa habari kamili bofya hapa :http://www.globalpublishers.info

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger