Home » » MATAPELI WA MADINI WATIWA NGUVUNI BAADA YA KUMTAPELI MAMA MUUZA MBOGAMBOGA

MATAPELI WA MADINI WATIWA NGUVUNI BAADA YA KUMTAPELI MAMA MUUZA MBOGAMBOGA


Matapeli wakiwa chini ya ulinzi wakipelekwa kituoni na afande(ambaye jina lake halikuweza kupatikana kwa haraka maana alikua bize km mnavyomuona hapo)

Baadhi ya Matapeli wa madini waliosambaa sana mujini siku hizi wanaswa Kibo Commercial complex Tegeta na askari police wakimtapeli mama muuza mbogamboga bila huruma. Matapeli hawa wa madini pia walinaswa na Camera yetu ya Sweethome iliokua katika eneo hilo la Tegeta  wakati wengine walifanikiwa kukimbia kwa pikipiki, na kuwaacah wenzao waking'ang'aniwa na mafande waliokua wakifuatilia nyayo za matapeli hao tokea kitambo. Chanzo chetu cha uhakika kimebainisha kua matapeli hawa wakishatapeli wanabadilisha nguo na kuvaa nguo za kike ili wasitambulike na kuishia kutoka kuumiza victims wao, ila jana ndio ilikua 40 yao, baada ya juhudi za kumtapeli mama muuza mboga kugonga ukuta.


Picha na habari kwahisani ya http://tina-sweethome1.blogspot.com
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger