Home » » MARIAH CAREY PLANS TO PUT HER TWINS TO WORK

MARIAH CAREY PLANS TO PUT HER TWINS TO WORK

Mariah Carey, Monroe And Moroccan Cannon
Mariah Carey ameonesha nia ya kuanza kuwaingiza sokoni watoto wake wenye umri wa mwaka na nusu kutoka na maombi ya baadhi ya ma-agent waliomuapproach kumuomba akubali wa-sign mikataba ya watoto kutanza kufanya kazi za ma-agent hao za modelling. Mariah alipata wateja hao baada ya kuanza kuweka picha za wanae online ambapo amewafungulia kabisa website alioiita DEMBABIES.COM
Monroe And Moroccan Cannon
Baby Moroccan and Monroe wameonekana wakikua na kuzidi kua wazuri ambapo waliwavutia watu na makampuni mbalimbali ambapo Mariah alionesha interest huku baba watoto Nick Cannon akionesha kusita na kudai hangependa watoto wafate nyao za wazazi wao, na angependa kama angeweza kuwafanya wa-strive kua watu kama madaktari au wanasayansi or something like that
Monroe And Moroccan Cannon
Chanzo cha habari hii kimedai kwamba hata Nick akijidai kukataa hawezi kupindua kwenye uamuzi wa Mariah kwani Mariah ndio boss of the house and whatever she says ndio final......(qi qi qi qi qi qiiiii)

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

3 comments:

Unknown said...

Khaaa wakati huku Africa baba akiema ndio amri wo wenzetu mama akisema ndo amri mweh! Ila vitoto vi -cutee!a

Anonymous said...

Hiiii safi

Jestina George said...

Yaani viko so sweet haya tena ndo vitega uchumi haooo twende kazi

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger