Jumla ya watahiniwa 894,881 leo wanafanya mtihani wao wa kumaliza elimu ya msingi wakiwa na matumaini ya kufanya vizuri na kuvuka salama kipimo hicho ambacho kitatoa tathmini ya kile ambacho wamekuwa wakikifanya kwa kipindi cha miaka saba.  
Ni miaka takriban 50 sasa tumekuwa tukizalisha wanafunzi wa sekondari kwa mfumo wa mtihani wa darasa la saba, lakini ipo tofauti kubwa sana kati ya ufaulu wa zamani na wa sasa.
Je Tatizo ni mfumo wa elimu, uwezo wa waalimu, mtaala wa masomo, sapoti ya serikali au wanafunzi wenyewe?            
                                  **********************************************************************
Jamani mpaka leo watoto wanakaa nchini jamani, uuwwii sasa hapa watoto watafaulu vipi? mtu anakaa chini anapinda mgongo atawezaje kufikiria vizuri? NO WONDER  kati ya wanafunzi laki 8 waliofanya mtihani mtasikia wamefaulu 100 tu....... what a shame? jamani  HAKI ELIMU NDIO HII?  am just sayin'.......