Home » » WASAMARIA WEMA POPOTE DUNIANI TUNAOMBA MSAADA WAKO KUSAIDIA KUOKOA MAISHA YA MTOTO JULIANA MWINUKA !!!!!

WASAMARIA WEMA POPOTE DUNIANI TUNAOMBA MSAADA WAKO KUSAIDIA KUOKOA MAISHA YA MTOTO JULIANA MWINUKA !!!!!


Mtoto Juliana Mwinuka mkazi wa kijiji Cha Mavanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe anaendelea na matibabu katika Hospitali ya CCBRT wodi la wagonjwa wa Macho mtandao huu www.francisgodwin.blogspot.com unaendelea kuwashukuru wote wanaoendelea kutoa michango yao kunusuru uhai wa mtoto Juliana ambaye ni yatima 

Mtandao huu unaendelea kuwapongeza wote wanaoendelea kuguswa na kuungana na wadau wengine kumchangia fedha za matibabu ,mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa ameunga uso wake kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake waweza kutuma mchango wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026 299 au Tigo Pesa 0712 750199 namba hizi ni za mmiliki wa mtandao huu Bw Francis Godwin 

Nawaomba tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu atatuongezea zaidi.


Nimeitoa :http://swahilinawaswahili.blogspot.com

Kwa mawasiliano zaidi ingia humu: http://www.francisgodwin.blogspot.co.uk/


Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

1 comments:

Anonymous said...

Uuuwwii maskiniiii, Mungu amrehemu mtoto huyu apate kupona jamani uuwwii mwili umenisisimka kweli...pole baby

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger