Home » » TAJIRI WA HONG KONG ATOA DONGE NONO LA $65MILLION KWA MWANAUME YOYOTE ATAKAEFANIKIWA KUMUOA MWANAE

TAJIRI WA HONG KONG ATOA DONGE NONO LA $65MILLION KWA MWANAUME YOYOTE ATAKAEFANIKIWA KUMUOA MWANAE


LOL, this sounds a lil crazy, babu anasema atampatia kidume chochote dola za kimarekani milioni 65 kama kidume hicho kitafanikiwa kumuoa mwanae mwenye umri wa miaka 33 kutoka kwenye ndoa ya haramu ambapo mwanae ameolewa na mwanamke mwenzie jambo ambalo babu hajalikubali kabisaa. 

Mfanyabiashara huyu Cecil Chao Sze-tsung aliiambia BBC that his daughter, 33-year old Gigi Chao, is a “very good woman with both talent and looks”, and that he just wants to find a suitable partner for her. Offering up $65 mil may not be the best way to go about finding “suitable”, but there will no doubt be a large group of men willing to step up and claim it.


Pichani ndio bi dada na mpenziwe wa kike ambaye baba yake hamkubali kabisa
Chao insists that reports of his daughter having married girlfriend of seven years Sean Eav are false and that she just needs a good man. He also said that aside from the cash, he will help out the potential suitor in starting a successful business venture. “It is an inducement to attract someone who has the talent but not the capital to start his own business,” Mr Chao said. “I don’t mind whether he is rich or poor. The important thing is that he is generous and kind-hearted.”
Mweeh Wonders shall never end ooh, sasa babu anazani atapata mkwe wa ukwee kwa style hii jamani? haya kaka zangu wa kibongo popote pale mlipo jamani changamkieni tenda hio, babu anatoa milion 65 dola na kama hio haitoshi babu atasaidi kukupa chochote unachotaka, chezeya muchina weye...full mpunga hapo.....tihihihihihiiiiiiiiiiiiiiii

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

2 comments:

Anonymous said...

Contact zake basi Tina....

Anonymous said...

Aaah babu muongo huyo babu

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger