Home » » JUMUIYA YA TANZANIA NA UINGEREZA YASHEREHEKEA MIAKA 50 YA UTAIFA KATI YA UINGEREZA NA TANZANIA

JUMUIYA YA TANZANIA NA UINGEREZA YASHEREHEKEA MIAKA 50 YA UTAIFA KATI YA UINGEREZA NA TANZANIA

Mh Balozi Deodoros Kamala akizungumzia jambo katika mkutano wa sherehe hizo uliofanyika nchini Uingereza
Mkutano huo ukiwa unaendelea 
Waliohudhuria hafla hio wakisikiliza kwa makini yaliyojiri mkutanoni hapo
Balozi wa Tanzania Peter Khallage akiwa na Susan Mzee na Sheilamila
Mama Balozi Joyce Khallage akiwa na wageni wengine waalikwa waliohudhuria hafla hio..
Mwenyekiti wa Britain- Tanzania Society William Fulton JP DL akiongea na Urban Pulse baada ya mkutano huo

Siku ya jumanne tarehe 25.9.12 Jumuiya ya Uingereza- Tanzania ( BRITAIN- TANZANIA SOCIETY) iliandaa hafla fupi ya kusherekea miaka 50 ya Utaifa kati ya Nchi ya Uingereza na Tanzania katika ukumbi wa The Royal Commonwealth Club, London. Wageni mbalimbali pamoja na wanachama walijitokeza kwa wingi kuhudhuria hafla hii fupi ilioandaliwa hususani kwa ajili ya kuchangia nchi ya Tanzania. Mojawapo ya wageni waliohudhuria ni pamoja na balozi wetu Peter Kallaghe pamoja na mkewe Mama balozi Joyce Kallaghe, Mwenyekiti wa Britain- Tanzania Society William Fulton JP DL.




Kwa habari kamili ingia http://www.jestina-george.com


Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger