Home » » EDA SYLVESTER ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TEMEKE 2012 USIKU HUU

EDA SYLVESTER ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TEMEKE 2012 USIKU HUU


Redd's Miss Temeke 2012, Eda Sylvester akiwa katika pozi baada ya kutwaa taji lake usiku huu.
Eda Sylvester (katikati) akiwa na mshindi wa pili Flaviana Maeda (kushoto) na mshindi wa tatu Catherine Masumbigana (kulia).
MREMBO Eda Sylvester usiku huu amefanikiwa kutwaa taji la Redd's Miss Temeke 2012 katika kinyang'anyiro kilichofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba, Temeke jijini Dar es Salaam. Eda Sylvester mwenye umri wa miaka 21 anatoka katika kitongoji cha Kigamboni na ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua Shahada ya Sanaa
Hawa ndio warembo waliofanikiwa kuonja tano bora 

(PICHA  NA HABARI : ERICK EVARIST, MAULID KILINDA, LUQMAN MALOTO NA CLARENCE MULISA  KUTOKA GPL)
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger