Home » » UFUNGIZI WA TAWI A CHADEMA HOUSTON, TX. USA. KADI ZAGOMBEWA.

UFUNGIZI WA TAWI A CHADEMA HOUSTON, TX. USA. KADI ZAGOMBEWA.

Da Linda na Libe wakionyesha msisitizo wa CHADEMA 
   
Watatubania lakini wataachia tu, mnapiga watu mabomu kwenye maandamano lakini ukweli uko pale pale CHADEMA funika bovu, pichani ni ufunguzi tu wa tawi la CAHEDEMA Houston TX, USA...watu waliebuka  nyomi kama mnavyowaona hapo, watu wenye akili zao na kazi zao ila wamekuja kuchukua card za CHADEMA kuonyesha msisitizo, Houton Texas beeeibyeee M4C FUNIKA BOVU........na baadoooo

CHADEMA HOUSTON TX, USA, wakiwa makini kusikiliza sera za Mh. Mbowe na Sugu, jamani mmetisheeerrrr...... full respect yaani......
HAPANA CHEZEYA MAJEMBE YETU KABISAAA......SUGU AND MR MBOWE......


chek nyomi ya CHADEM HIO TX, hadi raha....
Yaani M4C ninachopendea mimi viongozi wake na wanachama wake wapo very decent yaani, wana-maakili wametulia  yaani hio 2015 Mungu atupe uzima tu, sina mengi ya kueleza the pics says it all, Ndio maana huko Tanzania sisiemu hawana raha kutwa kupiga mabomu wanachama wetu wanatuogopa maana wanajua 2015 na sisi tulio nje tukishuka bongo kupiga kura patakua hapakaliki; na mkae sawa sisiemu na kutishia watu kwa risasi sio ujanja.

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger