Home » » HAWA NDIO WALIOFANIKIWA KUINGIA 5 BORA MISS KANDA YA MASHARIKI MOROGORO

HAWA NDIO WALIOFANIKIWA KUINGIA 5 BORA MISS KANDA YA MASHARIKI MOROGORO


Warembo wa 5, waliofanikiwa kutinga katika hatua ya Fainali ya shindano la Miss Kanda ya Mashariki, baada ya kuchuana vikali katika shindano lao dogo la Redd's Miss Kanda ya Mashariki Talent, lililofanyika jana usiku kwenye Hoteli ya Usambara, mjini Morogoro. Kutoka (kushoto) ni Mrembo, Joyce Baluhi, Shakhila Hassan, Zuhura Gola, Irene Veda na Salvina Kibona, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi.

Rose Lucas, akionyesha umahiri wake kwa kushambulia jukwaa ipasavyo kujaribu bahati yake kwa kuonyesha machejo yake mbele za Majaji, wakati wa shindano hilo.
                              
Mrembo, Joyce Baluhi, akisebeneka na wimbo wa Demu Mwigizaji wa Tunda Man, na kuwakosha vilivyo, Majaji na mashabiki waliohudhuria shindano hilo
   

Hii hapa ni kabla ya kuanza shindano hilo, warembo wakipiga picha ya pamoja 

   
 Washiriki wakicheza wimbo wao wa ufunguzi wa show hiyo kwa pamoja....walichangamka sana...

Picha kwa hisani ya sufianimafoto.blogspot.com
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger