Pichani ni kijana Thapelo Makutle 23 aliyenyakua taji la Miss Gay Pageant huko South Afrika amekutwa amekatwa shingo na kufariki katika chumba chake cha kupanga. Report inasema Thapelo aligombana na wakaka wawili siku ya Ijumaa jioni ambao walionekana kukerwa na hali yake ya ushoga na baada ya hapo walimfata hadi kwake na kumvamia na kufanya mauaji hayo.
Griqua amabe ni rafiki wa Thapelo amehadithia kwa uchungu jinsi asivyoamini walipomkuta mwenzao amefariki kwa kuchinjwa nasehemu zake za siri kukatwa na kuweka mdomoni kwake; “It’s so sad. I can’t describe the pain that we are feeling right now,” Griqua said “We have lost a young, talented, gay man who was open about who he was. The last few days have been like a dark cloud.” The director of Legbo Northern Cape, a nonprofit that provides sexual health education, released a statement saying that witnesses had seen Thapelo’s body, and that his genitalia had been “severed and inserted into his mouth.”
(Samahani for this disturbing image, pichani ndio mwili wa marehemu Thapelo kama ulivyokutwa na majirani na mapolisi)
Home »
» SHOGA ALIESHINDA MASHINDANO YA MA-GAY WAREMBO SOUTH AFRICA AUAWA NA SEHEMU ZAKE ZA SIRI KUKATWA..
SHOGA ALIESHINDA MASHINDANO YA MA-GAY WAREMBO SOUTH AFRICA AUAWA NA SEHEMU ZAKE ZA SIRI KUKATWA..
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment