Umati wa watu ukiwa umekusanyika nyumbani kwakina Barnaba kutoa heshima za mwisho..! |
Familia wakitoa heshima za mwisho.....!! |
Ni huzuni na sintoamini utawala kipindi hiki inapofika kuagana mara ya mwisho na mpendwa wako.... |
Barnaba akiagana na Mama ake kwa mara ya mwisho.....!! |
Madee akiwa na Lady Naa......!! |
Joh Makini baada ya Kuaga Mwili.....!! |
Baadhi ya wanakikundi wanaounda Tanzania House of Talent (T.H.T) |
Mwili ukiwa umepakiwa tayari kabisa kuelekea makaburini kwaajili ya maziko kumpumzisha Mama....!! |
Esmah Khan & Hawa ntarejea walikuwepo kuwafariji wafiwa... |
Hapa mwili ukiwa umewasili makaburini tayari kabisa kwa maziko...! |
Jeneza likishushwa kaburini na wanafamilia....!! |
Barnaba akitupa mchanga wa mwisho kwenye kaburi la marehemu mama yake |
Barnaba akionekana kuishiwa na nguvu kabisa mpaka kufikia hatua ya kutokuweza kusimama, ilibidi asaidiwe...!! |
Mume wa Bi Mariamu Arubeth akiweka mchanga kaburini...!! |
Jeneza likiwa ndani ya kaburi tayari kwa kuanza kufukiwa na mchanga.....! |
Hyper Man HK alikuwepo pembeni na mwanamuziki Shilole...!! |
Producer Lamar wa Fishacrab Studio alikuwepo pia...! |
Hali ile ya uchungu na kulia sana ilipelekea Barnaba kukosa nguvu na kuzimia kwa dakika kadhaa... |
Baada ya kuzinduka akisaidiwa kuingia kwenye gari kuwaishwa Hospital kutokana na kupoteza nguvu kabisa...!! |
Simple the Boy alionekana kuwa mbele kwenye ratiba ya makaburini kuakikisha mipango inaenda sawa...!! |
Mume wa Marehemu akisimika msalaba kaburini ..!! |
Msemaji wa familia akisoma historia fupi ya marehemu Mariamu Arubeth...!! |
Msemaji wa Familia akitoa maelekezo
kwa waombolezaji mara baada ya kumaliza shuguli a maziko...!! |
Umati wa waombolezaji wakitawanyika makaburini baada ya shuguli ya mazishi kukamilika...!! |
Mama Diamond Akimuwakilisha mwanawe ambae yuko Comoro kikazi kwenye mazishi hayo. Picha zote na Thi is Diamond |
0 comments:
Post a Comment