Watu wawili wanahofiwa kupoteza maisha na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa kutokana na mlipuko wa bomu lililolipuka kwenye mkutano wa Chadema katika eneo la Soweto, kata ya Kaloleni jijini Arusha, wakati wa kufunga kampeni za uchaguzi wa madiwani katika maeneo ya jiji hilo.
Maelfu wakimpungia mikono Mbowe wakati akiwasili.
Habari na picha kutoka GPL
0 comments:
Post a Comment