Mtoto Bahati Upendo mwenye siku 3 inasemekana alipozaliwa aliwekwa kwenye mfuko wa mbolea na mama yake na kutumbukizwa kwenye shimo... ambapo alikaa siku 6 ndani ya shimo hilo bila kula wala kunywa hadi alipookotwa na wasamaria wema akiwa bado yupo hai.
Hivi sasa yuko Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma akiwa Salama Salimini . Yeyote Mwenye nafasi ya kumsaidia mtoto huyu anaweza kwenda moja kwa moja Hospitali au wasiliana na namba zifuatayo, mchango utafuatwa 0755061588 au 0755 731 234.
****Daaah mi bado nashangaa unabebaje mimba miezi 9 afu unajifungua vizuri na kuamua kumtupa mtoto jamani? hivi wanawake wengine wana roho gani lakini? God will punish them kwa kweli.... na huyu mtoto Mungu akasema she will not die.... siku zote hizo katoto bado kapo kazima, tunakuombea ukue salama uje kua mtumishi wa Mungu kwa kweli.... ****
0 comments:
Post a Comment