Home » » TANZANIAN DESIGNER IN THE USA LINDA BEZUIDENHOUT IS GOING BIG

TANZANIAN DESIGNER IN THE USA LINDA BEZUIDENHOUT IS GOING BIG


Hapo juzi kati sis Linda alijikuta anakula shavu la kuwa judge miongoni wa majudge kibao ndani ya jiji la ATL ili kufanikisha zoezi la kuwasaka Miss, Ms, Mrs Georgia plus America......sis Linda kama kawaida yake aliwapigia vitu vya lebo yake ya LB kutokea anaingia hadi kutoka na hivyo kupeperusha bendera ya Tanzania kama hana akili nzuri kwani walikua hawaamini kama Tanzania inaweza kuwa na ma-designer wa kiwango cha hali ya juu kama yeye....daaah mi fagilia mno huyu sister aisee.. 
Akiwa tayari tayri kwenda kujiremba na kubadili nguo kwa ajili ya usiku huo....
               
Amini Usiamini hii nguo kaishona dada huyu from scratch , hapo kwa nyuma...... uuwwiii am so in love with this outfit .............watu na vipaji vyao aisee ni nomaaaa
Hapo kwa pembenii.................

uuwwwiii hapo kwa karibuuuu..........       
Hapo kwa msisitizo...

na hio hapo tena nakuachia useme mwenyewe...

hapo akiwa na majudges wenzake  wakidiscuss questions that will be asked to the pageants the day of finale...

hapo ndio yupo na baadhi ya washiriki yaani hadi mi nilimwambia mbona kawafunika hao washiriki wenyewe ?....hahahahaha but  si kweli eeeh? kawafunikaje wahusika wa shughuli sasa? kwi kwi kwiii

kikazi zaidi..

Hapana chezeya LB bana

********
wow sis Linda mambo yako sio ya kitoto ni next level kabisa.....wish u all the best yaani mi penda nguo zako sana classy, decent and elegant, ngoja nianze kudunduliza ni ode walau moja  hahahaaha ..kip it up hun
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

4 comments:

Iron Lady said...

Huyu ndo dada ya mujini.. wengine wanajikongoja. Team LB

Anonymous said...

wa ukweli wa mujini haters gona hate forever,
#teamLB

Anonymous said...

hivi ukitaka ku-oda nguo za zake unafanyaje Tina? saidia mimi

Anonymous said...

Mdada wa ukweli, she live with confidence matendo zaidi no blablaaa. Uko juu Linda penda ww sana

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger