Home » » PICHA YA MWILI UNAODAIWA KUWA WA DEREVA WA BAJAJI ALIYEUWAWA NA WANAJESHI KAWE.

PICHA YA MWILI UNAODAIWA KUWA WA DEREVA WA BAJAJI ALIYEUWAWA NA WANAJESHI KAWE.



MWILI WA MAREHEMU YOHANA MDA MCHACHE BAADA YA KUUAWA NA WANAJESHI WA JWTZ.




 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela.

Askari anayedaiwa ni wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)  anadaiwa kuua dereva wa bajaj kwa kutumia bunduki katika maeneo ya Kawe Shoko, jijini Dar es Salaam.

Tukio la kuuawa kwa kijana huyo inadaiwa kulitokana na  kutokea  mabishano kati yake na mwanajeshi huyo wakati akipita eneo ambalo raia hawaruhusiwi kupita.

Vurugu kubwa zilitokea katika eneo hilo baada ya tukio hilo huku vijana wenzake marehemu kukusanyika kuhoji sababu za kuawa kwa mwenzao.

Mashuhuda walisema kuwa baada ya askari huyo kumpiga risasi kijana huyo na kumuua, mwili wake ulichukuliwa na gari la kubebea wagonjwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo. 
SOURCE AUDIFACEJACKSON BLOG
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger