President Barack Obama, daughter Sasha, First Lady Michelle Obama and daughter Malia walk from the White House across Lafayette Park on their way to church at St John's Episcopal Church in Washington, D.C. today
Wakati wamemaliza service kulikua na kimvua cha hapa na pale wakaletewa Limo wapande ila wakatolea nje wakachukua miamvuli wakarudi kwa mguu kama kawa, daaah mi nawafagilia sana yaani hii familia mi naifagilia mnooo, hata wasinge kua marais....wanaonekana watu simpo sana......God bless 'em.....HAPPY EASTER ....
1 comments:
Safi sana....cjui kama itatokea prezidaa wetu afanye hivyo mwee
Post a Comment