Home » » DAAAH THIS IS SO TRUE: TAFAKARI

DAAAH THIS IS SO TRUE: TAFAKARI



Mchina mjanja, anatuuzia Madubwasha mbofu mbofu alafu siye Tunabadiliahana naye kwa kumpa Natural resources Kama unabisha embu cheki plan yake ya kuutengeneza bandari ya Bagamoyo ilivyo kwa mujibu we mkataba bandari hiyo ujenzi wake ukiisha itakuwa na uwezo wa mamilioni ya makontena Ambapo itamrahisishia mchina kusafirisha Minerals kutokea Zambia, Congo, TZ and beyond

Kwa mchina kujikita sana kwenye Bara la Africa sasa imemfanya na Muamerikano kuanza kutia maguu yote mawili barani Africa- 

Kazi kwenu msiyejua Kuwa Africa was never abandoned continent, except it was reserved Land for the future, and that future is now, they are back to finish off what the left off.


NIMEITOA TU SEHEMU, IMENIGUSA MAANA INA UKWELI MKUBWA NDANI YAKE........KAZI NDIO KWAAANZA INAANZA INSTEAD OF MOVING FORWARD NDIO KWANZA TUNABAKI PALE PALE TENA NA KUKANDAMIZWA ZAIDI......   MY POOR AFRICA... SMH
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger