
Mtoto Aneth katikati akiwa na mama yake kulia wakiingia mahakamani leo

Wilviina Mkandala anayetuhumiwa kwa kumuunguza na kusababisha mtotoAneth kukatwa mkono akiingizwa mahakamani


Mama Aneth akiondoka na mwanae mara baada ya hakimu kumuona mtoto huyo na kupata maelezo mafupi toka kwa mtoto Aneth ambaye alishindwa kabisa kuongea mara tu alipomuona Shangazi yake huyo aliyemchoma moto na kesi imahairishwa mpaka tarehe

Mtoto Aneth mara baada ya kutoka katika chumba cha mahakama akisubili kurudishwa katika hospitali ya Rufaa kuendelea na matibabu

Baadhi ya wamama waliokuja kushuhudia na kusikiliza kesi ya baby Aneth wakiwa nje ya mahakama wakionesha usongo na hasira nakutamani hakimu awape angalau dk 2 tu za kumpa kisago yule bi mwanga aliemsababishia Aneth ulemavu wa maisha....
Source. Pamojapure
0 comments:
Post a Comment