Home » » WATOTO WA VIGOGO WANUSURIKA KATIKA AJALI MBAYA WALIOIPATA WAKIWA NA FERRARI AMBALO LILITEKETEA KABISA..

WATOTO WA VIGOGO WANUSURIKA KATIKA AJALI MBAYA WALIOIPATA WAKIWA NA FERRARI AMBALO LILITEKETEA KABISA..

Crash: The fire engine red Ferrari was destroyed in the accident after it burst into flames following impact just off Web Bridge Road in Alpharetta, Atlanta
Watoto wawili wa vigogo walipata ajali mbaya sana asubuhi ya leo huko Atlanta walipokua wakihang out na gari ya kifahari ya aina ya Ferrari ambayo ghafla iliacha njia na kuenda kombo, na kupinduka mara kadhaa...ambapo baadae lililipuka na kuteketea kabisaa, Ila kwa bahati nzuri vijana hao ambaye mmoja ana umri wa miaka 18 na ndio aliokua anaendesha, na mwenzie miaka 21 aliekua mpambe kwa pembeni walinusurika baada ya kifanikiwa kujitoa kwenye Ferrari hilo kabla halijalipuka.
Akshay Panducherry, 18 Harshavardhan Patlolla, 21
Barely alive: Akshay Panducherry, 18 (left) and his friend, Harshavardhan Patlolla, 21 (right) are in critical condition after the former's Ferrari ran off the road at around 4am this morning and burst into flames

Before: Mr Panducherry who goes by the name of Akshay Pavan on Facebook, posted this picture of what looks like a 2009 F430 Scuderia on Tuesday before the crash
Pichani juu ni gari hilo enzi za uhai wake, na chini ni gari hilo baada ya umauti
Wreck: The car was reduced to rubble Wreck: The car was reduced to rubble
Wadau kama kawaida wameanza kuteta kua lawama za  ajali hio ziwaendee wazazi wa hao watoto kwani wamekua wakiwaspoil nakuwapa magari ya kifahari na yanayoenda kwa kasi wakati wanajua kabisa teenager akili zao sio nzuri kuhandle vitu kama hivyo.. Ferrari hilo lililoteketea limetajwa ku-cost dola $283,000 


Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

2 comments:

Jestina George said...

mmm watapata jipya

Admin said...

Kweli, as long as wamepona wanavyodekezwa watanunuliwa lingine tu

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger