Home » » FIDEL CASTRO AMERIPOTIWA KUA MGOJWA MAHUTUTI AKISUMBULIWA NA STROKE. MA-DR WADAI ANA SIKU CHACHE ZA KUISHI

FIDEL CASTRO AMERIPOTIWA KUA MGOJWA MAHUTUTI AKISUMBULIWA NA STROKE. MA-DR WADAI ANA SIKU CHACHE ZA KUISHI


Kiongozi wa Cuba mwenye umri wa miaka 86 Fidel Castro, ameripotiwa kuwa mgonjwa sana, hawezi kula, kuongea, kuinuka wala kutambua ndugu, jamaa na marafiki wa karibu yoyote. Fidel Castro anasumbuliwa na embolic stroke na hali yake inasemekana sio nzuri kabisa. 
 Former  Cuban leader Fidel Castro (left) has not been seen in public  since March, during a visit by Pope Benedict XVI.
Hapa ndio ilikua mara ya mwisho kwa wananchi kumuona Fidel Castro live, alipokuja Pope kumpa hi

Dr Jose Marquina ambaye ni Dr wa Castro amedai sio vyema kutabiri hali ya mgonjwa lakini kwa anavyomuona Fidel hana muda mrefu kabisa, amekadiria na kusema ''few weeks''.  Marquina amasema sio rahisi wananchi kumuona Castro tena in Public kama hapo awali. Na kwa mujibu wa records kwa mara ya mwisho Fidel Castro kuonekana nje (in Public) ilikua March mwaka huu wakati Pope Benedict XVI alipotembelea Cuba..
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger