Home » » THE RE-MATCH PRESIDENTIAL DEBATE TONITE WAS HOT: MY PRESIDENT NAILED IT........4MORE YRS B.O

THE RE-MATCH PRESIDENTIAL DEBATE TONITE WAS HOT: MY PRESIDENT NAILED IT........4MORE YRS B.O

Meeting: Mitt Romney and Barack Obama
hapo wakisalimiana kabla ya sakata kuanza
Fight: The two candidates clashed angrily at the beginning of the evening
Yaani sura ya Mitt inaniudhiiii hebu muangalie kule nyuma anavyomuangalia Obama kwa hasira na madharau, (with his fake ass smile) yaani huyu baba ana-look so racist.........mfyuuuuuuuuuuuAnger: Romney lost his temper at one point as he ordered the President not to interrupt him
Mitt akilengwa na machozi baada ya kuambiwa ukweli kua amezidi kubadilisha msimamo wake, na sio mkweli.... check sura lake kama mkoloni mamboleo vile, hupati kitu banaaa... ukishinda wewe mi nahamia Sudan, mfyuuuuuuuu
Anger: Obama repeatedly accused Romney of twisting the truth and even telling lies
halafu ni muongoje? kila siku anabadilisha sera, Mitt Rodney can never tell the truth......he lying to damn much.......He always takes Obama idea and remodel them ili watu waone ndio yeye kaanza kusma hivyo kumbe watu wanakumbukumbu tu, like ile ishu ya immigrants Mitt seemed to change his idea on immigration during  this debate.He has previously taken a harsh line, focussed on encouraging illegal immigrants to leave the country, na kuwadepot haraka sana but on tonite's debate kabadilisha na kujidai highly skilled graduates should 'get a green card stapled to their diploma', na huu mi najua ni uongo tu, akiwa yeye ndio rais atarudishaje watu makwao?? 
Interruptions: The pair would not stop talking over each other throughout the evening
 Hahahaha i  just loved this one, ''Governor Romney says he's got a five point plan? Governor Romney doesn't have a five-point plan, he's got a one-point plan,’ Obama said. ‘To make sure that the folks at the top play by a separate set of rules.
Sit back down! Both candidates were clearly in fighting mood
Obama u did a good job  today baby, just relax now, u got 4 more yrs hun, trust me...
Pink
LOL baada ya sakata la Debate kuisha kila mtu alienda kwa my mamspu wake kupa kipoozeo kwanza, and both Michelle and Ann happen to wear hot pink,(I think its bcoz this is Breast Cancer awareness month)  but Michelle wore it best . 

Good luck OBAMA-BIDEN and Wish u ALL THE BEST MAMAA MICHELLE....
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

3 comments:

Anonymous said...

Ha ha ha Tina bwana yaani naingia humu kusoma unavyoandikaga, eti sura lake limekaa ki-racist....but its true huyu jamaa ni copy right ya Bush roho zao, ila huyu kazidi roho mbaya, akichukua urais tumekwisha...i dont like him pia..

Anonymous said...

Mke wa Romney na pesa zote walizonazo bado kakomaa km kibibi, mmh mi hata siwapendi kabisa wanaonekana hawana habari kabisa na walala hoi....wanajidai tu wanajali wananchi kwa ajili ya uchaguzi

Anonymous said...

Yaani huyu Romney wanamsapoti ni matajiri wenzake, ila hata wazungu wenzake hawampendi, huko Massachusetts alipokua Govener ndio hawataki hata kumsikia, aliwaibia hawana hamu nae,,,,

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger