Mcheza filamu maarufu nchini Nigeria a.k.a spataa wa Noolywood Mercy Johnson hatimaye ameonekana akiwa na mimba kweli safarii baada ya watu kumsema sana kwamba hana kizazi kutokana na kuolewa na muda kupita bila kuona kitumbo kikiinuka......Wafuatiliaji mambo ya watu walidai kwamba Mercy ameonekana ana mimba akiwa na my hubby wake juzi kati walipotoka kwenda kununua nguo za wajawazito na matayarisho ya nguo za mtoto kedekede....
Wadaku wamedai kua watu wamefurahi sana (watu kwa umbea jamani sasa hata asipozaa nyie inawahusu nini? anayetoa watoto si Mungu jamaniii?) baada ya kuona bi shost kitumbo kimeumuka wakaanza kurusha salamu za hongera kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali nchini Nigeria jambo ambalo limemuogopesha bi shost na kuamua kujichimbia ndani kwa sasa......
HONGERA BI DADA WEE, WISH U SAFE DELIVERY.........
2 comments:
Safi sana. hahaha wadaku wako kil akona ya dunia mweeee aibu zaoooo. I love Mercy
oh really? am happy for her, i like her too... good lucky and safe delivery
Post a Comment