Home » » MERCY JOHNSON SASA ANA MIMBA KWELI.....

MERCY JOHNSON SASA ANA MIMBA KWELI.....

                       
               Mcheza filamu maarufu nchini Nigeria a.k.a spataa wa Noolywood Mercy Johnson hatimaye ameonekana akiwa na mimba kweli safarii baada ya watu kumsema sana kwamba hana kizazi kutokana na kuolewa na muda kupita bila kuona kitumbo kikiinuka......Wafuatiliaji mambo ya watu walidai kwamba Mercy ameonekana ana mimba akiwa na my hubby wake juzi kati walipotoka kwenda kununua nguo za wajawazito na matayarisho ya nguo za mtoto kedekede.... 
        Click for Full Image Size
Wadaku wamedai kua watu wamefurahi sana (watu kwa umbea jamani sasa hata asipozaa nyie inawahusu nini? anayetoa watoto si Mungu jamaniii?)  baada ya kuona bi shost kitumbo kimeumuka wakaanza kurusha salamu za hongera kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali nchini Nigeria jambo ambalo limemuogopesha bi shost na kuamua kujichimbia ndani kwa sasa......

HONGERA BI DADA WEE, WISH U SAFE DELIVERY.........












                                               
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

2 comments:

Jestina George said...

Safi sana. hahaha wadaku wako kil akona ya dunia mweeee aibu zaoooo. I love Mercy

Anonymous said...

oh really? am happy for her, i like her too... good lucky and safe delivery

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger