Home » » WAPIGA DEBE WAWEKWA CHINI YA ULINZI MITAA YA POSTA

WAPIGA DEBE WAWEKWA CHINI YA ULINZI MITAA YA POSTA




WAPIGADEBE wanne wamekamatwa katika kituo cha mabasi cha Posta Mpya kwa tuhuma za kuwabughudhi abiria kituoni hapo jambo ambalo limepigwa marufuku kwani siku hizi wapiga debe hawaruhusiwi kwakua mabus yoote yana mistari na alama za kusema yanaelekea wapi, na baadhi ya wapiga debe wengi wao ni vibaka tu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile alisema wapiga debe hao walikamatwa juzi saa 10 jioni katika msako wa polisi uliofanywa katika maeneo mbalimbali ya Ilala. Kwani inasemekana wamepigwa marufuku kuwepo maendeo hayo ya Posta. Kamanda Shilogile aliwataja watuhumiwa hao ni Joseph James (22), Joseph Gidion (18) Magumu Kichumu (32) na Wilson Martine (25).

Picha na Dar Es Salaam yetu.blogspot.com
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger