Wabunge
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi waliangua
Vicheko pale wenzao wa CHAMEDA walipoikwepa kuigusa na kuila Keki ya Birthday ya
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Shy Rose Banji wakati wa tafrija yake
iliyofanyika Nyumbani Longe Jijini Dar es Salaam.
Wabunge
hao wa CHADEMA ni Halima Mdee (Kawe) ambaye anaonekana picha ya juu akiikataa
keki hiyo iliyotolewa na Wakurugenzi wa Nyumbani Longe, Gadna G Habash na Mkewe
Lady Jay Dee, huku Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Kiwelu picha ya chini nae
akijificha asiitazame kwa karibu. Wabunge
hao waliigwaya Keki hiyo kutokana na jinsi ilivyopambwa rangi za
CCM.
Kwa habari zaidi pitia Dar es salaam Yetu- blogspot

0 comments:
Post a Comment