Sasa mi najiuliza huyu jamaa kwa pesa alizonazo kwanini asingemlipa tu m-bajaji wa watu maskini, yaani kamtwanga afu kala kona bila foleni za dar zile angeshaishia zake uuwwwiiii ...kwa hadhi yake alionayo hakustahili kufanya maupuuzi km haya mweeh kweli u-staa ndio hivi ???!!
Home »
» HASHEEM THABEET AMGONGA MTU WA KIBAJAJI NA KUSHUKA NA KUMKWIDA
HASHEEM THABEET AMGONGA MTU WA KIBAJAJI NA KUSHUKA NA KUMKWIDA
Cha ajabu baada ya varangati hilo Hasheem akaamua kutokomea na kukimbia lakini akakumbana na Foleni na ndipo yule dereva wa BAjaj akaita Trafiki na wakamkamata kwenye Kituo Cha OILCOM Kijitonyama.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment