Home » » HASHEEM THABEET AMGONGA MTU WA KIBAJAJI NA KUSHUKA NA KUMKWIDA

HASHEEM THABEET AMGONGA MTU WA KIBAJAJI NA KUSHUKA NA KUMKWIDA



Hasheem aliovertake gari akakumbana na Pikipiki mbele ikabidi arudi tena kushoto ambako aliigonga Bajaj iliyokuwa kwenye Sight sahihi....

CHA AJABU....Dereva wa Bajaj aliposhuka kumuhoji kwanini amemgonga na jinsi gani watalipana gharama za utengenezaji wa Bajaj yake,Hasheem alishuka,akamkwida na kumpiga kumpa mitama ya hapa na pale na kumkabizi mauvi mwana-bajaji huyu( lol) uuwwiiii sina mbavu maskini mamuimajini dereva wa bajaj nasikia  huruma na kicheko at the same time....,lol kama namuona alivyotoa macho maana lihasheem lirefuje? 

Hasheem, anamiliki HAMMER ya rangi nyeupe na isingemcost chochote kuongea na dereva yule kwa ustaarabu yakaisha...Lakini cha ajabu akampiga wakati yeye ndio alikuwa na makosa...mweeh u-staa kazi eeh

Kisa na bahari ingia humu: http://sethought.blogspot.com
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger