Shortly after nimeandika kuhusu ugonjwa wa msanii Sajuki na msaada anaouhitaji kwa Watanzania na mashabiki wape popote pale walipo; ile naingia tu fezibuku nakuta habari za Sajuki kuwa amefariki, hii ilinishtua sana maana sikujua niache post nilizoweka hivi punde au la...!!!? sasa sikujua la kufanya ikiabidi niendelee kuperuzi fezibukuni zaidi na vyombo mbalimbali vya habari ili nijue nini cha kuandika, ndio nakutana na status ya huyu jamaa ambaye inaonekana anamjua Sajuki vizuri na amethibitisha kuwa huo ni UZUSHI tu
Sajuki hajafariki bali ni mgonjwa sana na anahitaji msaada kama nilivyoandika hapo chini, na hizi ndio habari nilizonaza mpaka dakika hii, sasa kama kuna mabadiliko sijui ila Sajuki hajafa jamani msimzushie mwenzenu bure mweeh...

0 comments:
Post a Comment