Mwanabongo movie Sajuki ambaye nae amekua akiigiza muvi mbali mbali amekua akiumwa kwa muda mrefu sasa, na anahitaji msaada wetu watanzania kwani anahitaji kiwango kikubwa cha kuweza kumsaidia kwenda kupata matibabu nje ya nchi, nimeipata habari hii Global publishers nimeona nishee na nyie ili atakaeguswa aweze kumsaidia ndugu yetu huyu, namba za kumtumia mchango mtazipata huko Global publishers please kwa yoyote atakayeweza asaidie kwani chochote kitasaidia maana inatakiwa hela nyingi, inasemekana ana uvimbe tumboni....
Habari zaid chungulia Global Publishers
Home »
» SAJUKI ANA HALI MBAYA SASA
SAJUKI ANA HALI MBAYA SASA
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment