Duuh rais Zuma umetisherrrrr: Mbali ma kuwa na vimwana watatu tayari Sizakele MaKhumalo (right), Nompumelelo Ntuli (left) and Thobeka Mabhija (second left), Rais wa Africa ya Kusini Jacob Zuma anatarajia kuongeza kimwana mwingine wa nne wiki ijayo; ili kuongeza msisitizo katika swala zima la unyumba lol
Techinically huyu ni mke wa 6: Ikumbukwe kua Jacob Zuma alishaoaga wake 5 na sijui ikawaje akamtaliki mmoja na mmoja alijiua sijui kwa shida gani na hivyo akabakiwa na watatu ambapo sasa, ameonelea aongezege mwingine m1 wawe foo.....
tihihihhihihihiiiiii kibabu bado kinadai unaambiwa, tihihiii
0 comments:
Post a Comment