Bus kama hili huko nchini Zimbabwe lilianguka baada ya kuwa katika speed kali na kuuwa watu wapatao 21 huko South Zimbabwe, Bus hili lililokua likisafiri kwenda Beitbridge huu ni mpaka wa Zim na Sauzi lilipinduka na kukosa balance kwani lilikua limeshehena watu na mizigo kupita kiasi....
Dereva wa bus hili alifariki nae hapo hapo na ajali hizi nchini Zimbabwe zimeripotiwa kua ni jambo la kawaida kutokana na barabara mbaya na madereva kujaza kupita kiasi kwa madhumuni ya kufanya biashara ili kujiongezea kipato ambacho kimekua ni tatizo kubwa kwa miaka mingi nchini humo.
Home »
» AJALI YA BUS YAUA 21 ZIMBABWE LEO
AJALI YA BUS YAUA 21 ZIMBABWE LEO
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment