Home » » MAGUFULI AKIMBIZWA ICU DODOMA

MAGUFULI AKIMBIZWA ICU DODOMA


Waziri wa Ujenzi; Dk. John Pombe Magufuli.

Nimepata habari hivi soon kua Waziri wa Ujenzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amezidiwa ghafla na kukimbizwa hospitalini na kufikia ICU straight mjini Dodoma ambapo shughuli na vikao vya bunge vinaendelea.

Alipofikishwa hospitalini hapo wataalam wamedai ni heart attack na bado wanaendelea na uchunguzi wa kina na matibabu ya kumsaidia muheshimiwa a-get well soon...


Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger