Home » » LULU AKIPELEKWA KIZIMBANI

LULU AKIPELEKWA KIZIMBANI

Msaani wa muvi za bongo Lulu 17yrs old, (katikati ya maaskari mwenye dira la pink) anayesemekana anahusika ama kujua sababu ya kifo cha msanii mwenzake Steven Kanumba aliefariki April 7 mwaka huu kaitka mazingira ya kutatanisha, amefikishwa mahakamani leo hii 23 April saa nne asubuhi jijini Dar es Saalam. Alisomewa mashitaka hayo ila hakutakiwa kujibu lolote na baada ya hapo alirudishwa Lupango mpaka May 7, kesi yake itakaposomwa tena.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger