Mwanamuziki mwenye suati moja ya hatari sanaJennifer Hudson; leo April 23, 2012 nae alijitokeza kortini kusikiliza muendelezo wa kesi dhidi ya William Balfour mjamaa alieua familiya ya Jennifer mwaka 2008 akiwa ni mshitakiwa pekee wa mauaji hayo mpaka dk hii huko Chicago.
William Balfour is charged with the 2008 murders ya Jennifer Hudson's mother, Darnell Donerson, kaka yake Jenifer Jason, na 7-year-old nephew.
Muendesha mashtaka amesema Balfour, alikua amemuoa dada yake Jennifer Julia, na alishawahi kuwatishia kabla ya kufanyia mauaji hayo ambayo inasadikiwa ni kwa sababu ya jealous. Jenifer ametakiwa kuhudhuria trial hio mwanzo ahadi mwisho kwani yeye anaweza kuitwa saa yoyote kutoa ushahidi kwa kuwa yeye alikuwepo mjengoni siku ya tukioa na yeye tu ndio aliyenusurika siku hio....
Source: People magazine
Home »
» JENIFER HUDSON NAYE KORTINI LEO
JENIFER HUDSON NAYE KORTINI LEO
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:
Post a Comment