Home » » KIM KARDASHIAN KUGOMBEA UMEYA

KIM KARDASHIAN KUGOMBEA UMEYA


So katika pita pita zangu huko mitandaoni leo nikaona hii  article ambayo sio kwamba ni habari za kiuhakika saana ila ndio nikaimagine tu, je vipi  kama kweli  bi shost ameamua ku-run for  mayor..?  hebu soma kidogo kama nilivyoikopi afu tujadili mawili matatu kuhusu huyu mrembo:  
Today in absurd and improbable news, Kim Kardashian has declared her intent to run for mayor of Glendale, Calif. In an unaired clip from Sunday’s episode of Khloe & Lamar, the reality star and sister Khloe drive around Dallas when the two pass the Ross Perot Museum (who knew Ross Perot could evoke such political inspiration?!), which prompts Kim to share her plans of a campaign run by her friend Noelle.
“I decided I’m going to run for the mayor of Glendale,” affirms Kim. 

Mtazamo wangu: Kwa muonekano wa nje na wa hapa na pale kimaukweli bi dada  we ni mrembo na hilo sio jambo la kubisha, ila je misukosuko ya siasa na umeya sijui na msisitizo wote wa mayor utauweza mrembo wewe jamani...!!?? au ndio kutaka tu kuongeza jina? jamani dada Kim mi naona ubaki tu katika maswala yako ya urembo, sijui kuact, kuuza sura etc..hilo swala la umeya kama kweli upo serious nalo mmmmh usije tu kutulilia yakikushinda.....anyway all the best shost..
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger