Home » » AIRPORT TANZANIA YATIA AIBU JAMANI MWEEEHH..!!!??

AIRPORT TANZANIA YATIA AIBU JAMANI MWEEEHH..!!!??



Kutoka Milliard ayo.com nimekutana na hizi picha za Uwanja wetu (Tanzania) wa ndege jamani nimesikia aibu mpaka nimetamani kulia, afu nikaangalia pembeni yangu kama kuna mtu kaniona nikiangalia hizi picha za kutia aibu kiasi hiki madai yetu  ndio INTERNATIONAL AIRPORT YETU..uuwwiii  hivi JK umeona hii ya Uwanja wa ndege kuvuja wakati wa mvua kunyesha au ndio kule VIP kumetengenezwa kama kule JFK Airport kwa hio huna habari na hii..??!! AIBU yetu mbonaaaa...!!!?? 
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger