Uongozi wa chuo cha biashara cha CBE hivi karibuni umepiga marufuku uvaaji wa nguo zenye kuonyesha msisitizo wa hapa na pale chuoni humo. Aidha kaimu mkuu wa chuo hicho cha biashara jijini Dar es salaam amesisitiza kwamba mwanafunzi au mfanyakazi yoyote wa chuo hiko atakae repoti chuoni humo na nguo isio na maadali atarudishwa nyumbani mara moja. Aidha, kaimu huyo aliomba jamii impe tafu katika msisitizo huu ambao utairudishia chuo hadhi yake na kushupalia maadaili bora ya Kitanzania..
Chuo hicho chenye idada kubwa ya vijana kimekua kikiongoza kwa wanafunzi kuvaa vitu vya ajabu jambo ambalo huwapa hata waalimu wakati mgumu katika swala zima la kutoa lecture. Uongozi wa chuo umedai kunotice tabia hio mbaya na kutaka kuistopisha haraka sana kwani vijana chuoni humu wamekua bize kuiga mastaa wa majuu na nchi jirani bila kujali utamaduni, mila na desturi za nchi yetu yenye tabia nzuri....lol
Home »
» VIVAZI VYA NUSU UCHI MARUFUKU CBE
VIVAZI VYA NUSU UCHI MARUFUKU CBE
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment