Katika zungukazunguka nakutana na hii photo kuna mdau kaiweka on fb halafu anauliza 'hii ni biashara ya mwalimu au wanafunzi wameamua kupiga dili??'
Ikanikumbusha enzi hizo nasoma kuna ticha alikua anatupa ice cream aka ashikirimu za ukwaju tumuuzie wakati yeye anaendelea na lecture unaambiwa pita uzia wenzio ashikirimu zikibaki wakopeshe uandike majina yao kesho mnikusanyie pesa zangu. Na kuna mwinginea alikua kama hujanunua karanga zake hutoki nje mapumziko lol ....Hivi hii tabia inaendelea?? maana naongelea miaka km10 iliopita na je wewe kama mzazi ndio unakutana na mwanao kabebeshwa beseni kama hivi mida ya class unachukua hatua gani...??
Mweeh..!!?? I LOVE MY COUNTRY ila we still have loooong way to go ....anyway am still PROUDLY TANZANIA......lol..
Home »
» HALI KIUCHUMI INAZIDI KUWA NGUMU Tz
HALI KIUCHUMI INAZIDI KUWA NGUMU Tz
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment