Home » » VIFO VYA WAJAWAZITO TZ NANI ASAIDIE...??

VIFO VYA WAJAWAZITO TZ NANI ASAIDIE...??

Mwanzoni kabisa mwa blog hii nilisema tutakua tunaongelea hili swala humu mara kwa mara mpaka tujuwe kinaeleweka au lah? 


Kumekua na hofu ya muda mrefu sasa nchini Tanzania kwa wamama wengi wanapokua na mimba wanakua na hofu kubwa wakifikiria ileee siku ya tukio, Jumanne ijayo(hii ipite jumanne ilee) Joyce Kiria ataongelea swala hili katika luninga yako katika kipindi cha WANAWAKE LIVE kupitia station EATV..


Sisi kama wamama wa Tanzania tunataka kujua ni lini serikali itatilia msisitizo huduma ya wanawake wajawazito Tanzania jamani...mtu una mimba nesi wako sijui dokta hata hakuambii kua unatakiwa kunywa vitamins gani, au unatakiwa kula nini ..? watu wanakua ignorant na maisha ya watu, mama anajikuta siku ya kujifungua hana damu hata moja ya kumtosha jamani mweeh.....mimi nasikia hasira tena sana...vitu vingine hata havihitaji pesa kwa kweli ...kwani wewe km mtoa huduma kwa mama mzazi ukimwambia afanye nini ili awe na ujauzito mzuri na kujifungua salama utapungukiwa nini?


Au ndio swala zima la maslahi ? uuwwwiii ..sasa na wale wa mama wa kijijini ndio usiseme, kama wamama wa mjini hata ultrasound inakua ishu wakijijini ndio hata kidonge cha vitamini atakisikia kwenye bomba for real...Nikianza kulalamika hapa sitamaliza leo, ila wenye kujua msaada wa swala hili jamani watusaidieeee tunaishaaa ...uuuwwwwiiiiiii....
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

3 comments:

Iron Lady said...

Mi naona kwanza, mtu akitaka kusomea unesi ajue kabisaa hii kazi ni wito, otherwise asomee zingine! this is about peoples lives! na pili jaman Tz hivi ni nini.. kila kitu is about money, yaani mtu yuko radhi akuonee unakata roho hivi hivi hakusaidii, mpaka tu umpe kitu kidogo aka (chai) pathetic!! Wizara ya afya, serikali nao sijui hata wanafanyaga kazi gani huko maofisin.. long way to go..

Anonymous said...

Iron Lady u said it right ...we still have loooong loooooong way to go...sasa mtu km huna pesa una komaje? kuna dada alisemaga alijifungua ila kichwa kikawa kinaendelea kumuuma sana kumbe walimwacha na placenta unaambiwa ni Mungu tu maana lile lisipotoka haukai hata masaa, ila ye alienda hadi home jamani....uuwwiii kurudi tena hospital ndio kugundua na kulitoa jamani ni Mungu tu bila hivyo angekua bai bai tena...

Iron Lady said...

Na huko long way to go sijui kama tutafika.. maana things are geting worse and worse!kuliko huko tuliko toka, na ukijitia kunyanyua kimdomo una resitishwa in peace! God have mercy!

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger