Home »
» Karibuni wote
Karibuni wote
Haya wapenzi mahommies, nikisema mahommies jamani namaanisha wabongo wenzangu all over the world, blog hii ni kwa ajili yenu, hivyo basi nipenda kuwakaribisha na nikiwaomba mnitumie picha zetu za matukio mbalimbali na nitazirusha hapa na tulio mbali na nyumbani tuweze kujiona kama tupo nyumbani kwa ku-share picha na matukio yanayojiri kila siku popote pale tulipo.....picha nitakazoomba mnitumie nizirushe ni kama zile za, graduation, nipe picha yako ya graduation tuweke hapa na tuwaambie ulimwengu that you did it, harusi, weka picha yako ya harusi hapa utuambie km ushapata jiko jamani wasikusumbue lol, kama we na mjasiliamali weka duka lako hapa, wasanii wa kila aina muvi, masongi, maigizo, wachoraji, yaani we km unajijua msanii na unapenda kazi yako ijulikane kwa umma leta hata yaani hapa ni full kurushana na fullkusapotiana jamani, na pia katika kukoment kutakua hakuna comment za kashfa ama matusi, atakaye komenti vitu vya ajabu komenti itafutwa haraka sana, i need u u need me, we need each other katika swala zima la maendeleo ya vitu mbalimbali... au sio..haya uwanja wenu tena, nawasubiriajeee.....!!??
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
9 comments:
I real like it big up dada twende kazi
big up mamii
Hongera sana dada Tina hapa tutajisika kama tuko nyumbani KHADIJA NOOR WA STOCKHOLM
haswaaaa hapa ndio kama nyumbani kabisaaa...teh teh hadi raha
Pamoja sana
Asante
Post a Comment