Home » » Karibuni wote

Karibuni wote

Haya wapenzi mahommies, nikisema mahommies jamani namaanisha wabongo wenzangu all over the world, blog hii ni kwa ajili yenu, hivyo basi nipenda kuwakaribisha na nikiwaomba mnitumie picha zetu za matukio mbalimbali na nitazirusha hapa na tulio mbali na nyumbani tuweze kujiona kama tupo nyumbani kwa ku-share picha na matukio yanayojiri kila siku popote pale tulipo.....picha nitakazoomba mnitumie nizirushe ni kama zile za, graduation,  nipe picha yako ya graduation tuweke hapa na tuwaambie ulimwengu that you did it, harusi, weka picha yako ya harusi hapa utuambie km ushapata jiko jamani wasikusumbue lol, kama we na mjasiliamali weka duka lako hapa, wasanii wa kila aina muvi, masongi, maigizo, wachoraji, yaani we km unajijua msanii na unapenda kazi yako ijulikane kwa umma leta hata  yaani hapa ni full kurushana na fullkusapotiana jamani, na pia katika kukoment kutakua hakuna comment za kashfa ama matusi, atakaye komenti vitu vya ajabu komenti itafutwa haraka sana, i need u u need me, we need each other katika swala zima la maendeleo ya vitu mbalimbali... au sio..haya uwanja wenu tena, nawasubiriajeee.....!!??
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

9 comments:

Admin said...
This comment has been removed by the author.
Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Admin said...
This comment has been removed by the author.
Anonymous said...

I real like it big up dada twende kazi

Anonymous said...

big up mamii

Anonymous said...

Hongera sana dada Tina hapa tutajisika kama tuko nyumbani KHADIJA NOOR WA STOCKHOLM

Admin said...

haswaaaa hapa ndio kama nyumbani kabisaaa...teh teh hadi raha

Interestedtips said...

Pamoja sana

Mzee wa Changamoto said...

Asante

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger