RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAWAZIRI IKULU DAR ES SALAAM LEO



Picha ya pamoja akiwemo Rais na Mawaziri wake baada ya kuwalisha viapo vya kufanya kazi kwa hali na mali kama katiba inavyowaamuru...haya all the best mkileta madudu this time nahama nchi kimaukweliukweli, sitanii

WAKATI SHEREH ZA KUAPISHWA MAWAZIRI ZIKIENDELEA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,(kushoto) na msaidizi wake Boniphace Makene (katikati) wakisalimiana na George Simbachawene(kulia) , kwenye Viwanja vya Ikulu baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, leo.

RAIS KIKWETE AKIAPISHA MAWAZIRI WAKE LEO IKULU


Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. Janeth Mbene kuwa Naibu Waziri Fedha wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
PPP
Picha na habari kwa  hisani ya blog ya Jamii

OBAMA FOR AMERICA, AGAIN.........

"When enough of you knock on doors, when you pick up phones, when you talk to your friends, when you decide that it’s time for change to happen, guess what? Change happens. Change comes to America." Barrack Obama 

FORWARD ALL THE WAY BABY.....


PRESIDENT OBAMA AT THE PODIUM

Thats my president for the next FOUR years lol, Mungu akitupa uzima tutaendelea kula nawe bata, John Mcain unasonyajeeeee.....

OBAMA & MICHELLE WAANZA CAMPAIGN ZA 2012

President Obama and the First Lady onstage together at the first rally of 2012.

WAWAKILISHI WA BBA FROM TANZANIA HAWA HAPA


JULIO

Age27
Country
Tanzania
OccupationManager
BiographyJulio is from Dar es Salaam and works as the Head of VAS, Electronic Channels and Products at a company in the telecommunications industry. With a BComm in Finance and an MBA under his belt, he looks set to be a wily player on Big Brother StarGame! He entered to be on the show because his best friend – Hilda – was the perfect example of the best candidate. Coupled with that, he saw himself as the most complete character because of how he lives his life as a hedonist.

He says of his partner Hilda that she is “real and straightforward” and that he’s always comfortable when she’s around. He says that men adore her while women are always on his case. “She’s smart, very interesting – especially with how much she knows, Africa will love her to death,” he says. He’s a fan of the show and cites Kevin as his favourite Housemate, though he says “at the end of the day, he has nothing on what I’ll bring to the House”. 

Julio describes himself as fun, crazy, smart, cunning and entertaining.

MDADA HUYU NDIO MWAKILISHI WA TZ HUKO BBA


HILDA

Age28
Country
Tanzania
OccupationSaleswoman
BiographyHilda hails from Morogoro and is a saleswoman. She has a son and enjoys the novels of Sydney Sheldon and the book Memoirs of a Geisha. Hilda was inspired to enter Big Brother StarGame by Biggie himself! “He seems to be a big challenge in the House and so I thought it would be fun to join him this time around and give him a special challenge. I can’t wait…” she says. She’s excited by the partnering format of this year’s show as it will be filled with fun and entertainment – plus her partner Julio is her best friend. “He is charming, sweet and a very good listener, of course,” she says.

She says she will do whatever it takes to win the grand prize – including lying her way out of a tricky situation or “being the sweetest thing ever”. She knows that Africa will be talking about her as soon as they see her on screen – which makes her excited. She says if she wins, she will donate money to a charity she supports back home as a peer health educator to help them build a nice house

SOURCE: bigbrotherafrica.dstv.com

MAMA KIKWETE AWATAKA WANASACCOS KULIPA MADENI KWA WAKATI


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wanachama wa Chama cha kuweka Akiba na Kukopa cha URSINO na REGENT (URESCO) kuwa na utaratibu maalum wa kukusanya madeni ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua wale wote watakaochelewa kulipa madeni yao.

Mama Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) aliyasema hayo jana wakati akifungua SACCOS hiyo iliyopo  Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti huyo wa WAMA aliendelea kusema kuwa ili SACCOS iweze kuendelea ni lazima ijiwekee utaratibu wa kutoa  mafunzo na semina mbalimbali za kuwajengea uwezo wanachama wake  katika uendeshaji na kusimamia miradi ya jamii.

Kwa habari kamili bofya: http://daresalaam-yetu.blogspot.com/

SHAQ GRADUATES WITH HIS DOCTORAL DEGREE

O’Neal then walked over and hugged school president, hug his mother, and Sister Linda Bevilacqua before walking off stage posing for photos in his cap, gown and hood like all the other graduates. On his way back to his seat, O’Neal strolled by a star struck row of graduates and handed out high-fives like he was walking past his old teammates on the bench.

Read more here: http://www.miamiherald.com/2012/05/05/2784914/shaq-becomes-dr-oneal-graduates.html?asset_id=2785133&asset_type=gallery#storylink=cpy

HE IS NOW OFFICIALLY DR O'NEAL


What he did just shows education doesn't stop. He's already been successful and has decided to take his career another step forward. As a millionaire athlete he could probably not do anything, just relax, retire. But he still wants more. I admire that. We all admire that."
University president said  "We have many notable graduates among our 55,000 alumni, but I would have to say Dr. O’Neal would give new meaning to big man on campus. It’s so important for young students to see that you can achieve great success in a variety of ways in our world. You can achieve tremendous prominence in many things, but what is most important is that we see ourselves as life-long learners. I think Dr. O’Neal is a very powerful example of that."

Read more here: http://www.miamiherald.com/2012/05/05/2784914/shaq-becomes-dr-oneal-graduates.html?asset_id=2785133&asset_type=gallery#storylink=cpy

sHAQ

Read more here: http://www.miamiherald.com/2012/05/05/2784914/shaq-becomes-dr-oneal-graduates.html?asset_id=2785133&asset_type=gallery#storylink=cpy

SHAQ O'NEAL APOKEA DEGREE YAKE YA DOCTORAL



NBA legend Shaquille O’Neal received his doctoral degree in Education from Barry University Saturday morning along with another 1,100 students during multiple commencement ceremonies at the James L. Knight Center in downtown Miami.
Like all things done by the four-time world champion, 15-time All-Star, movie star, rapper and entertainer, O’Neal, 40, accepted the degree in style. Wearing a custom-made, bright red XXXL-sized gown, the seven-foot-one, 325-pound former Miami Heat center got on one knee so Dr. David M. Kopp could place a light blue hood around his big neck.
O’Neal then stood up and lifted his professor like Tarzan was rescuing Jane. "Swept off my feet," Kopp described the moment, celebrated with loud cheers from the crowd.

Read more here: http://www.miamiherald.com/2012/05/05/2784914/shaq-becomes-dr-oneal-graduates.html?asset_id=2785133&asset_type=gallery#storylink=cpy

MTOTO WA DARASA LA KWANZA KASIMAMISHWA SHULE KWA KUIMBA ULE WIMBO WA 'AM SEXY & I KNOW IT'' 1st-grader gets suspended for singing 'Sexy and I Know It'


A Colorado first-grader has been suspended for sexual harassment for singing the LMFAO song, "I'm Sexy and I Know It" to a girl in the cafeteria lunch line. Grade-schooler D'Avonte Meadows was suspended for three days from Sable Elementary after serenading a girl from his class with a line from the popular song. His mom says it wasn't the first time D'Avonte found his musical courtship unrequited.

Last month, the boy was called to the principal's office for singing the same song to the same girl and this time he was reportedly "shaking his booty near her face" too. At least no one can say he lacks persistence.

hahahaha jamani its sad and funny at the same time, why suspend the lil boy? probably he ddnt even know what it means. Oh wait a min; may be he does...kwa sababu hadi ameenda kum-shakia his booty lol... kids of these days are handful, i just saw it and i had to share lol

MISS INTERCOLLEGE SOUTHERN HIGHLAND ZONE 2012

Washindi wa Shindano la Miss Intercollege Southern Highland zone waliopata fursa ya kuiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Tanzania katika Shindano la Miss Intercollege Tanzania. Mshindi namba moja aliyekaa kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa, Kushoto kwake ni Mshindi wa Pili kutocha Chuo cha TIA na kulia ni Mshindi wa Tatu kutoka Chuo Kikuu cha TEKU. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya na kudhaminiwa na Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel

Top five

Warembo walioingia katika Tano bora katika Shindano la kumsaka  Miss Intercollege Southern Highland zone. Shindano lililoandaliwa na Lake Victoria arts & Culture Promotion na kufanyika katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya  na kudhaminiwa na Kampuni ya Vinywaji Tanzania (TBL), Beaco Resort, Masasi Fassion, Cocacola, Man Company Ltd, Access Computer Ltd, Shololo Mobile phone & Accessories na Mfikemo Hotel.

Miss akionyesha msisitizo mbele ya majaji katika swala zima la cat walk

Picha na habari kwa hisani kubwa ya http://chimbukoletu.blogspot.com

JAY- Z A-DESIGN LOGO MPYA ZA BROOKLYN NETS

Chini ndio picha za dizain logo alizo -design Jay- Z ambazo wadau wamedai hazina mvuto huku wengine wakionekana kupendezwa nazo sana...


         
                                                                   Here are the Brooklyn Nets' new logos. (Image via NBA.com/nets)


BIG BROTHER AFRICA KUANZA KESHO SAFARI YA 90DAYS

MSIMU mpya wa shindano la Big Brother umeanza kutimua vumbi na shindano hilo litang'oa nanga rasmi kesho, baada ya lile la mwaka jana lililomalizika Julai Mosi na Karen na Wendal kuondoka na mamilioni ya pesa.

Mkurugenzi wa M-Net, Biola Alabi amesema kama ilivyo kawaida ya shindano hilo ambalo huboreshwa kila mwaka, safari hii limeongezwa ubora mara dufu. Amesema kuwa timu imejiandaa kuwaburudisha waafrika ambao ndio walengwa wakuu wa shindano hilo ambalo limekuwa likifanyika kwa miaka tano mfululizo.

Shindano hili linafanyika kwa mara ya saba mwaka huu na Tanzania ikiwa mshiriki kwa miaka sita mfululizo. Ndilo shindano pekee barani Afrika linaloonekana 'Live' saa 24 ndani ya miezi mitatu na kutazamwa na watu katika nchi 47.
Wanzania waliowahi kushiriki katika shindano hilo ni  Mwisho Mwampamba, Richard, Latoya, Elizabeth,Bhoke na Lotus.

Zawadi
Zawadi inayoshindaniwa mwaka huu ni dola za Marekani laki tatu ambayo ni wastani wa shilingi za Tanzania milioni 480. Ingawa safari hii wanaingia washiriki wawili wawili lakini tunaambiwa ni mshiriki mmoja tu ndiye atakayeibuka mshindi.

'Host' wa Kipindi
Kwa mara nyingine, IK Osakioduwa ataongoza shoo zote za 'season' hii. Hii itakuwa ni mara ya nne kwa Ik kuiongoza shoo tangu alipoingia mwaka 2009.


Jumba la BBA
Safari hii jumba limenakshiwa kivingine kabisa, Biggie anasema kila kitu kimewekwa kwa maana yake, hakuna kitu kinachoonekana ndani ya jumba hilo bila kuwa na sababu, ni ndani ya siku tisini itajulikana maana ya fenicha na mapambo yaliyopo humo ndani.

Katika kila kona ya jumba hilo kuna kamera ambazo kwa ujumla wake ziko 53 na vipaza sauti 120 ili kuweza kutoa usikivu mzuri hata pale washiriki wanapoamua kunong'onezana.

J ColeNdiye msanii anayetarajiwa kusababishwa wakati wa ufunguzi wa shoo hiyo hapo kesho. Kwa wanaoujua wimbo hit wa Beyonce, Party yule anayerap sasa ndio J Cole mwenyewe.

Can’t Get Enough, Nobody’s Perfect na  Work Outbut ndizo nyimbo alizochagua kuziimba kesho katika shoo hiyo ya ufunguzi.



Habari kutoka: Mwananchi na Julieth Kulangwa  

WAPIGA DEBE WAWEKWA CHINI YA ULINZI MITAA YA POSTA




WAPIGADEBE wanne wamekamatwa katika kituo cha mabasi cha Posta Mpya kwa tuhuma za kuwabughudhi abiria kituoni hapo jambo ambalo limepigwa marufuku kwani siku hizi wapiga debe hawaruhusiwi kwakua mabus yoote yana mistari na alama za kusema yanaelekea wapi, na baadhi ya wapiga debe wengi wao ni vibaka tu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile alisema wapiga debe hao walikamatwa juzi saa 10 jioni katika msako wa polisi uliofanywa katika maeneo mbalimbali ya Ilala. Kwani inasemekana wamepigwa marufuku kuwepo maendeo hayo ya Posta. Kamanda Shilogile aliwataja watuhumiwa hao ni Joseph James (22), Joseph Gidion (18) Magumu Kichumu (32) na Wilson Martine (25).

Picha na Dar Es Salaam yetu.blogspot.com

MAADHIMISHO YA MA-ALBINO MKOANI LINDI



Bi. Zakia Matimbwa kutoka Albino Revolution Cultural Troup cha Dar es Salaam akighani Ngonjera iliyobeba ujumbe wa kulaani mauji ya Albino wakati wa katika maadhimisho ya saba ya siku ya Albino yaliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi jana

JUKWAA WALIOKAA WAGENI RASMI KTK MAADHIMISHO YA MAALBINO HUKO LINDI JANA

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Ludovick Mwananzila, Spika wa Bunge  Mhe. Anne Makinda, Mweneyikiti wa Chama cha albino Tanzania Ndg. Ernest Kimaya, na Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Ndg. Danford Makala wakipokea maandamano wakati wa kuadhimisha siku ya Albino Mkoani Lindi ambapo Spika alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya saba ya siku ya Albino yaliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi Jana.

SPIKA AWA MGENI RASMI KILELE CHA MAADHIMISHO YA ALBINO MKOANI LINDI



Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) akipata maelezo kutoka kwa Ndg. Abdalah Omar kutoka Chama cha Albino Tanzania juu ya matumizi ya mafuta maalum ya ngozi kwa ajili ya watu wenye ulemevu wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya bidhaa na huduma mbalimbali za watu wenye ulemavu wa Ngozi. Spika alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya saba ya siku ya Albino yaliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi Jana.


Picha na habari kutoka GPL...

POLISI WAMUOKOA MWANAMKE ALIYEDHANIWA NI MSHIRIKINA

Jeshi la polisi Mkoani Mbeya limelazimika kufanya kazi ya ziada kumuokoa mwanamke aliyefahamika kwa jina la Hawa Mwalongo (30), mkazi wa Mtaa wa Mwambenja, Kata ya Iganzo, Jijini Mbeya.

Tukio hilo limetokea Mei 4 mwaka huu majira ya Alfajiri mtuhumiwa akiwa na mwanae Alfonce Mwalongo (miezi mitano), alikutwa akiwa uchi huku mwanae huyo akiwa mita chache kutoka kwenye nyumba aliyopanga inayomilikiwa na Bwana Mashaka Seke.

Mmoja kati ya mashuhuda ambaye ni jirani yake amesema walisikia mtoto akilia alfajiri ndipo waliamua kutoka nje na kumkuta Bi Hawa akiwa mtupu na walipomsemesha, alisema anatoka Bunju Dar es salaam na kwamba anelekea Mbeya na alipoulizwa nguo zipo wapi hakuwa tayari kueleza na kutoelewa kinachoendelea.

Ameongeza kuwa amesafiri na lori lililokuwa na Container na kufika hapo baada ya kufukuzwa na baba yake mlezi aitwaye Esco Sikazwe, baada ya kutelekezwa na mumewe Bwana Nikas Mwalongo.

Uchunguzi umebaini kuwa mwanamke huyo alitelekezwa na mumewe kutokana na ujauzito wa mwanawe Alfonce, kisha kuhamia kwa baba yake mlezi ambaye alimfukuza kutoka Mtaa wa Mwakibete jijini hapa hali iliyomlazimu kwenda kupanga eneo la Ilemi majuma mawili yaliyopita.

Kwa upande wake Balozi Lukas Mwakalonge alitoa taarifa kituo cha polisi majira ya saa moja asubuhi, eneo la tukio na kumchukua mwanamke huyo na wanawe wawili Seif Mwalongo (2) na Alfonce na kuondoka nao na kwenda Kituo cha Polisi Kati baada ya wananchi wenye hasira kali kutawanywa na Polisi ambao walikuwa na nia ya kumpiga mwanamke huyo.


Aidha, amesema kuwa alimpokea Bi Hawa baada ya kuletwa na Peter John ambaye walikuwa wanafanyakazi pamoja katika moja ya Vyuo vikuu jijini Mbeya kama mhudumu wa mazingira katika chuo hicho.
Hata hivyo Bibi Mmoja Sandubwe Nabwike (90) ameowaonya wananchi kutojichukulia sheria mkononi kwani kufanya hivyo kutasababisha mauaji kwa wananchi wasiokuwa na hatia kwani hata yeye ameshawahi kuzushiwa kuwa ni mshirikiana na kutengwa, lakini baada ya uchunguzi akabainika kuwa si mchawi.

Hili ni tukio la tatu kwa wanawake kuhisiwa ni washirikina lakini baada ya kufikishwa hospitalini ilibainika kuwa ni wagonjwa wa akili, akiwemo Mwalimu mmoja aliyewahi kusoma Chuo Kikuu cha TEKU.
 
Habari Kutoka http://chimbukoletu.blogspot.com na Ezekiel Kamanga, Mbeya.

WABUNGE WA CHADEMA WAMSUSIA SHY-ROSE KEKI YAKE YA CCM


Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi waliangua Vicheko pale wenzao wa CHAMEDA walipoikwepa kuigusa na kuila Keki ya Birthday ya Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Shy Rose Banji wakati wa tafrija yake iliyofanyika Nyumbani Longe Jijini Dar es Salaam.

Wabunge hao wa CHADEMA ni Halima Mdee (Kawe) ambaye anaonekana picha ya juu akiikataa keki hiyo iliyotolewa na Wakurugenzi wa Nyumbani Longe, Gadna G Habash na Mkewe Lady Jay Dee, huku Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Kiwelu picha ya chini nae akijificha asiitazame kwa karibu. Wabunge hao waliigwaya Keki hiyo kutokana na jinsi ilivyopambwa rangi za CCM.
Kwa habari zaidi pitia Dar es salaam Yetu- blogspot

RAIS AKIONGEA NA WANA HABARI

Rais Kikwete akiongea na waandishi wa habari leo wakati akitangaza baraza jipya la mawaziri leo April 4 2012

RAIS ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LEO

‎1. OFISI YA RAIS
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)
Ndugu Celina Kombani, Mb.,

2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H. Suluhu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,

3. OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,

4. WIZARA
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Ndugu Samuel J. Sitta, Mb.,

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,

Waziri wa Ujenzi
Dr. John P. Magufuli, Mb.,

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,

Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Dr. David M. David, Mb.,

Waziri wa Kazi na Ajira
Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Prof. Makame M. Mbarawa, Mb.,

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Prof. Anna K. Tibaijuka, Mb.,

Waziri wa Maji
Prof. Jumanne Maghembe, Mb.,

Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
Prof. Mark Mwandosya, Mb.,

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Eng. Christopher Chiza, Mb.,

Waziri wa Uchukuzi
Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,

Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,

Waziri wa Viwanda na Biashara
Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,

Waziri wa Fedha
Dr. William Mgimwa, Mb.,

Waziri wa Nishati na Madini
Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,

5. NAIBU MAWAZIRI

OFISI YA RAIS
HAKUNA NAIBU WAZIRI 


 6. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais
Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,

7. OFISI YA WAZIRI MKUU
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Aggrey Mwanry, Mb.,

8. WIZARA MBALIMBALI
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira
Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Ndugu Adam Malima, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu Pereira A. Silima, Mb.,

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
Ndugu Gregory G. Teu, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Ndugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,

Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,

Naibu Waziri wa Ujenzi
Ndugu Gerson Lwenge, Mb.,

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Dr. Seif Suleiman Rashid, Mb.,

Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Ndugu George Simbachawene, Mb.,

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ndugu January Makamba, Mb.,

Naibu Waziri wa Uchukuzi
Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Ndugu Amos Makala, Mb.,

Naibu Waziri wa Maji
Eng. Dr. Binilith Mahenge, Mb.,

Naibu Waziri Nishati na Madini
Ndugu Stephen Maselle, Mb.,

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Janet Mbene, Mb.,

Naibu Waziri wa Fedha
Ndugu Saada Mkuya Salum, Mb.,
 

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu.

Dar es Salaam.

4 Mei, 2012

MUME AJIUA BAADA YA KUPIGWA NA MKEWE HADHARANI, AJICHOMA MOTO...


A 32-year-old man set himself on fire in front of his estranged wife’s home in a Mumbai suburb Ville Parle after he was beaten up by her relatives.

A driver by profession, the victim got married about a decade back and have a girl and a boy together. However, the couple separated four years back, reports Indian new website NDTV.
The man used to frequently go to his wife’s house to meet his children who were very attached to him.

On the fateful day, when he went to meet his wife on her request, she and her entire family abused him and physically assaulted him in front of curious neighbors. The man could not take the public humiliation. He went back to his car and drained the fuel into a 2 litre bottle, doused himself with petrol and set himself ablaze in front of his wife and her family.

The shocked public rushed to contain the fire and took him to a hospital. The victim fought for his life for two days despite severe burns but lost the battle of his life. The police authorities registered a case of suicide. The man’s body was handed over to his family members.

BOBBY BROWN ASEMA SIO YEYE ALIMFUNDISHA WHITNEY DRUGS...


Brown, 43, said accusations that he’s responsible for her drug-related demise make him “feel terrible.” He said Houston was doing narcotics "way before" he met her. In fact, she's the one who introduced him to cocaine, he claimed. “I didn’t get high before I met Whitney … on narcotics, no. I smoked weed, I drank beer,” he told Lauer in the pre-taped interview that continues Thursday. “No, I wasn’t the one who got her addicted to drugs. Or, I’m not the reason she’s gone.”

He said he’s been off narcotic for the last seven years and didn’t know she was still “struggling” with her sobriety. At their last meeting a week before her death, Houston was “glowing,” he said. They were out to dinner with their daughter Bobbi Kristina at Crustacean restaurant in Beverly Hills, and Houston “just looked like she was in a good place,” he said.

Ten days later she was dead.

“Maybe I could have done something different, you know, to ensure she had a longer life, but you have to want it, you know?” he told Lauer. “Some things just happen. God probably just needed her for the choir, you know, up there in heaven.”

Source: Nancy Dillon / New York Daily News                                                                                    

BOBBY BROWN ' I STILL LOVE WHITNEY WITH EVERYTHING THAT I AM''


Bobby Brown will always love Whitney Houston

Breaking his silence in a “Today” show interview that aired Wednesday, the New Edition singer said he still has deep feelings for the tragic diva, even though she divorced him in 2007.

“Our relationship was great,” he told NBC’s Matt Lauer. “I can honestly say that I love that woman with, with everything that I am. And I believe she loved me the same way.” He said the enduring emotional connection is something his new fiancé had to accept.

“I truly, genuinely loved that woman,” he said of Houston. “And I still love her today, um, even though I’m getting married sometime soon. My fiancé knows how I felt about that woman. My kids know how I feel, how I felt about Whitney. It’s no secret, you know? I was in love with her, deeply.”
Brown is set to marry Alicia Etheridge,  the mother of his youngest son, next month.

Houston, 48, died unexpectedly in her Beverly Hilton hotel suite Feb. 11, just hours before her mentor Clive Davis’ annual pre-Grammy party. She was found face down in a scalding hot bathtub with cocaine in her system.

The coroner ruled her death an accidental drowning likely caused by a cardiac event brought on by the cocaine use.


VIDEO YA MTOTO ALIYEZALIWA NA SEHEMU ZA SIRI NNE


TUNAOMBA RADHI KWA PICHA NA VIDEO HII

MTOTO WA AJABU AZALIWA SONGEA, TANZANIA

Mtoto wa ajabu azaliwa mkoani Songea,  ana sehemu za siri nne na mbili ziko kichwani na mbili sehemu ya kawaida, wazazi wanaomba msaada wa kitaalam wa kumsaidia mtoto huyu nje na ndani na nchi.

OBAMA AND HAMID SHAKING HANDS AFTER THE DEAL


President Barack Obama and Afghan President Hamid Karzai shake hands after making statements before signing a strategic partnership agreement at the presidential palace in Kabul, Afghanistan, Wednesday, May 2, 2012

RAIS OBAMA NA RAIS HAMID WA AFGHNISTANI


President Barack Obama and Afghan President Hamid Karzai emerge from their meeting before signing a strategic partnership agreement at the presidential palace in Kabul, Afghanistan, Wednesday, May 2, 2012

MASAA 2 BAADA YA OBAMA KUTOKA AFGHANISTAN, MABOMU YALIPULIWA


KABUL, Afghanistan, The Taliban struck back less than two hours after President Barack Obama left Afghanistan on Wednesday, targeting a foreigners' housing compound with a suicide car bomb and militants disguised as women in an assault that killed at least seven people.

It was the second major assault in Kabul in less than three weeks and highlighted the Taliban's continued ability to strike in the heavily guarded capital even when security had been tightened for Obama's visit and Wednesday's anniversary of the killing of al-Qaida leader Osama bin Laden in neighboring Pakistan.

Obama arrived at Bagram Air Field late Tuesday, then traveled to Kabul by helicopter for a meeting with President Hamid Karzai in which they signed an agreement governing the U.S. presence after combat troops withdraw in 2014. Later, back at the base, he was surrounded by U.S. troops, shaking every hand. He then gave a speech broadcast to Americans back home, before ending his lightning visit just before 4:30 a.

In Afghanistan, Obama pledges cooperation, vows to 'finish the job'


Kabul, Afghanistan President Barack Obama, speaking early Wednesday in Afghanistan at the tail end of a surprise visit there, discussed how the war will end and promised a steady drawdown of U.S. troops.

Obama committed to pulling 23,000 troops out of the country by the end of summer and sticking to the 2014 deadline to turn security fully over to the Afghan government. He said that NATO will set a goal this month for Afghan forces to be in the lead for combat operations next year.

"We will not build permanent bases in this country, nor will we be patrolling its cities and mountains. That will be the job of the Afghan people," the president said during a speech at Bagram Air Base

PRESIDENT OBAMA AKISALIMIANA NA WAJESHI WAKE

OBAMA SUPRISE VISIT TO AFGHANISTAN

President Obama akiwasili Kabul Afghanistan unannounced jana, ili kusign na kusisitiza kumaliza Vita nchini humo na kuondoa majeshi ya kimarekani nchini humo.

His unannounced trip was Obama's third visit to Afghanistan since taking office. It coincided with the first anniversary of the U.S. raid that killed Osama bin Laden in neighboring Pakistan, and comes as Obama is fighting for re-election

Source: CNN

Dr. CHEIN AKITOA ZAWADI KWA MFANYAKAZI BORA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Fedha tasilim Kidawa Juma said Shilingi za Kitanzania Laki Mbili na Hamsini Elfu (250,000/=) Mfanyakazi Bora wa Halmashauri ya Wilaya ya Magharibi kupitia Chama cha wafanykazi (ZALGWU) akiwa katika miongoni mwa wafanyakazi bora kwa mwaka 2012,wakati wa sherehe za siku ya wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawani

RAIS WA ZANZIBAR ASHEREHEKEA MEI MOSI NA WANANCHI WAKE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono wafanyakazi wakati akipokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi,katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Meyday) yaliyofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo.

MAADHIMISHO YA MEI MOSI ZANZIBAR YALIKUA KM HIVI

Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akiwa mgeni rasmi katika Sherehe za kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani huko viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja zilizofanyika leo.

Picha na habari kwa hisani ya http://michuzi-matukio.blogspot.com
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger