siku chache kama sio wiki nimeiona hii picha kwenye vyombo vingi vya habari na blogs ikiwa na maelezo ya picha hii ni kama hivi : NI AJABU NA
INASTAJABISHA:
Mchangamle kizimkazi, walikusanyika na kumshanga samaki huyu wa ajabu ambae wavuvi na wakazi wa maeneo hayo hawakuwahi kumwona,maana samaki huyu haelewiki ni CHUI, DUMA au ni nini.... Kwangu mimi ni ajabu sijawahi kuona kiumbe kama hicho...
*********
SASA MIMI kinachonishangaza ni hiki, huyu mnyama kama mnavyomuona ni wa ajabu which means hajawahi kuonekana onekana duniani, sasa WENZETU wa nchi zilizoendelea wakikutana na mnyama yoyote wa UNIKI kama hivi wanamchukua na wanamtunza na wanajaribu kumchunguza na kuona kama wataweza kumzalisha au kupata hata mayai yake ili wapate copy yake na kuitunza akiwa HAI ili aje awe KIVUTIO CHA WATALII hapo nchini kwao , ON THE OTHER HAND Wabongo wanaona kabisa ni mnyama wa very Unique but wanamuua sasa hapa inabaki tu kua hadithi.
HUYU WALIPOMVUA WALITAKIWA WASIMUUE BALI WANGEWAAMBIA WATAALAM waje wamcheki waue km ni dume au jike , na waone kama wangemzalisha au kuendelea kuchunguza kuona kama ataweza kuleta watoto na kuwekwa kwenye VIVUTIO ADIMU kwa AJILI YA WATALII.... sasa sijui huyu walimuua na kumla au sijui walimfanya nini.... *SMH
0 comments:
Post a Comment