Mtoto Fikili Hausi Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Shule ya Msingi ya Majengo Manisipaa ya Songea alikimbizwa hospital ya mkoa kwa matibabu baada ya Kuunguzwa Moto mikononi mwake na Mama yake mzazi. Jeshi la Police lina endelea kumtafuta mama yake Fikili Hausi ambae hajulikani alipotokomea mpaka dakika hii.
Daah jamani sasa mwanao unamfanya hivi kweli? wewe ni mzazi au shetani kweli? hivi hili pepo linaloingia watu siku hizi limetokea wapi? OH LORD linda familia zetu jamani oooh,,,daaaah very very sad kwa kweli
0 comments:
Post a Comment